Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati (kulia), Ikulu Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati, akiweka saini hati ya kiapo chake.
Rais Jakaya Kikwete, akiweka saini hati hiyo kumuidhinisha katika kazi yake hiyo mpya.
Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi vitendea kazi Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati.
Rais Jakaya Kikwete, akimshika mkono Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati kwenda kupiga naye picha za kumbukumbu.
Rais Jakaya Kikwete, akipiga picha na Waziri wa Sheria na Katiba, Asha Rose Migiro (wa pili kulia), Jaji Mkuu, Mohamed Faki Jundu (wapili kushoto), Katibu Kiongozi, Ombeni Sefue (kushoto) na Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati.
Rais Jakaya Kikwete, akipiga picha na familia ya Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na mmoja wa watoto wa Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati, Alina Mteule.
Rais Jakaya Kikwete, akipiga picha na familia pamoja na ndugu na jamaa wa Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati.
Rais Jakaya Kikwete, akipiga picha na watoto wa Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na watoto wa Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati.
Rais Kikwete akiwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati, wakipiga picha ya kumbukumbu pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya msajili huyo, mara baada ya kuwapisha, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza na watoto wa Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Katarina Revocati, Amon Mteule (kushoto) na dada yake mdogo, Alina,
No comments:
Post a Comment