TANGAZO


Tuesday, January 6, 2015

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Lipumba awashukuru wananchi wa Buguruni kwa kukipa ushindi wa Mitaa 5 kati ya 6 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiwahutubia wananchi wa Buguruni kwa kukipa ushindi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni nchini kote. Chama hicho kilishinda mitaa 5 kati ya mitaa 6 ya Kata hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiwahutubia wananchi wa Buguruni katika mkutano wa kuwashukuru kwa kukipa ushindi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni nchini kote. Chama hicho kilishinda mitaa 5 kati ya mitaa 6 ya Kata hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiwahutubia wananchi hao wa Buguruni katika mkutano wa kuwashukuru kwa kukipa ushindi wa mitaa 5 kati ya mitaa 6 ya Kata hiyo.
Umati wa wananchi wa Buguruni ukiwa katika mkutano huo, uliokuwa ukihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alipokuwa akiwashukuru kwa kukipa ushindi wa mitaa 5 kati ya mitaa 6 ya Kata hiyo. (Picha zote na Hamisi Mussa)

No comments:

Post a Comment