TANGAZO


Sunday, January 25, 2015

Dk. Shein awasili Kisiwani Pemba kuzindua sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa CCM

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa  Abdulrahman Kinana  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa karume Pemba ambapo atazindua  Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katikauwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba jioni leo.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akivalishwa shada la mauwa na kijana Chipukizi wa CCM baada ya kuwasili katika Uwanja wa karume Pemba ambapo atazindua  Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM leo  katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi mara  alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba ambapo atazindua  Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM leo  katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,(pichani) akipena mkono na Katibu Mkuu Uenezi CCM Taifa Nape Mnauye.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali wa CCM alipowasili  katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ambapo atazindua  Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM  katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla baada ya kupata mapokezi makubwa alipowasili katika uwanja wa Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ambapo atazindua  Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment