TANGAZO


Sunday, January 25, 2015

Congo kumenyana na Burkina Fasso

Afcon
Huku Congo ikichuana na Burkina fasso katika mechi ya kundi A, taifa hilo linahitaji sare ya aina yoyote ili kufuzu katika robo fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika.
Nayo Burkina Fasso ina majeraha miongoni mwa wachezaji wake Jonathan Zongo na mlinzi Issa Gouo.
Kikosi hicho cha The staliion kinahitaji ushindi ili kuimarisha matumaini yake ya kufuzu katika awamu nyengine.
Mechi hiyo ni ya kwanza kati ya mataifa hayo katika kombe la Afrika.

No comments:

Post a Comment