TANGAZO


Tuesday, January 20, 2015

Balozi wa Urusi amuaga Rais Dk. Shein Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh aliyefika kumuaga Rais Ikulu leo, Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini,(Picha zote na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A. Ranikh aliyefika kumuaga Rais Ikulu leo, Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A. Ranikh  baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu leo, Mjini Zanzibar akiwa amemaliza muda wake wa kazi nchini.

No comments:

Post a Comment