TANGAZO

Saturday, December 6, 2014

Yanga yaifunga Express ya Uganda bao 1-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

Ubao wa matangazo kabla ya mchezo kati ya Yanga ya Tanzania na Express ya Uganda kuanza Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
 Mpira ukiwa umeanza mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo dhidi ya Express.
 Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya Express ya Uganda.

Oscar Joshua (kushoto) wa Yanga akiwania mpira na Mukasa Mussa wa Express ya Uganda.
Oscar Joshua wa Yanga akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Mukasa Mussa wa Express ya Uganda.
Serunkuma Isaack wa Express, akimpiga chenga Nadir Haroub 'Canavaro' wa Yanga wakati wa mchezo huo.
Serunkuma Isaack wa Express, akimtoka Juma Abdul wa Yanga wakati wa mchezo huo.
Serunkuma Isaack wa Express na Juma Abdul wa Yanga wakiwania mpira katika mchezo huo.

Lwesibawa Godfrey wa Express na Juma Abdul wa Yanga wakiwania mpira katika mchezo huo.
Juma Abdul wa Yanga, akimtoka Lwesibawa Godfrey wa Express katika mchezo huo.
Juma Abdul wa Yanga na Lwesibawa Godfrey wa Express wakiwa wamedondoka chini wakati wakiwania mpira katika mchezo huo.
Kelvin Yondani (nyuma) wa Ynga akiutoa mpira miguuni mwa Lwanga Tadeo wa Express.
 Wachezaji wa Yanga na Express wakiwania mpira.
Serunkuma Isaack wa Express na Juma Abdul wa Yanga wakiwania mpira katika mchezo huo.
Mchezaji wa Express Katongole Henri, akiwa amedondoka baada ya kugongana na mchezaji Hamis Kiiza wa Yanga.
 Kalyowa Emma wa Express akipiga mpira.
Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya Hamis Kiiza kuifungia bao timu hiyo dhidi ya Express ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda bao 1-0.

Matokeo ya mwisho ya mchezo huo, Yanga ikiwa na bao 1 na Express FC 0.

No comments:

Post a Comment