Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy
Mwalimu kushoto akipata maelekezo mafupi toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya OK Plastic Bw.Fadl Ghaddar wakati alipofanya ziara ya kushtukiza
kiwandani hapo jijini Dar es Salaam ili kujionea hali halisi ya kiwanda hicho
katika kutunza mazingira, katikati ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira toka
Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Bi. Magdalena Mtenga.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy Mwalimu (katikati)
akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira toka Ofisi ya Makamu
wa Rais Mazingira Bi. Magdalena Mtenga wakati alipofanya ziara ya kushtukiza
katika kiwanda cha OK Plastic jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja wa Kiwanda
hicho Bw. Martin Msamba.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy
Mwalimu (katikati) akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Kitengo cha Uzingatiaji wa
Usimamizi wa Mazingira toka Baraza la Mazingira (NEMC) wakati alipofanya ziara
ya kushtukiza katika kiwanda cha OK Plastic Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy
Mwalimu (katikati) akisistiza jambo kwa
Meneja wa Kiwanda cha OK Plastic
Bw. Martin Msamba wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika kiwanda
cha OK Plastic jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa
Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Bi. Magdalena Mtenga.
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha OK Plastic ambao majina yao
hayakuweza kupatikana wakionekana kufanya kazi katika mazingira ambayo si
rafiki kwa afya zao.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy Mwalimu akitoa maelekezo kwa watendaji wa Baraza la Mazingira (NEMC) na uongozi wa kiwanda cha OK Plasdtic juu ya hatua za haraka za kuchukua ili kukabiliana na tatizo la uchafuzi wa mazingira jijini Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy Mwalimu akitoa maelekezo kwa watendaji wa Baraza la Mazingira (NEMC) na uongozi wa kiwanda cha OK Plasdtic juu ya hatua za haraka za kuchukua ili kukabiliana na tatizo la uchafuzi wa mazingira jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ummy
Mwalimu akitoa maelekezo kwa watendaji wa Baraza la Mazingira (NEMC) na uongozi
wa kiwanda cha OK Plasdtic juu ya hatua za haraka za kuchukua ili kukabiliana
na tatizo la uchafuzi wa mazingira jijini Dar es Salaam.(Picha
zote na Eliphace Marwa - Maelezo)
No comments:
Post a Comment