TANGAZO


Wednesday, December 3, 2014

Wajasiriamali waelezea walivyowezeshwa na promosheni ya Safari Lager wezeshwa ya TBL

Jacquline Shija Mazemle, aliyewezeshwa na TBL na kufanikiwa kuanzisha mghahawa maarufu wa FACEBOOK, ulioko karibu na Chuo Kikuu cha Kampala, Gongo la Mboto, Dar es Salaam. Akiandaa chakula na wenzake Ramadhan Seleman kushoto na Hans Shija
 Akiwahudumia na wateja wa Facebook.
Dorren Asey aliyewezeshwa na TBL kutengeneza mikate, keki na maandazi kupitia kampuni yake ya Dee Bakery, Doreen akiandaa mikate.
 Doreen akiandaa unga wa mikate.
 Dorren akionyesha mashine ya zamani ya kuokea mikate.


Dorren kulia na msaidizi wake Ali Chares, wakitayarisha unga wa mikate.
 Dorren Assei akionesha moja ya majiko ya kuokea mikate.
 Hapa ndio Facebook Cafe.
 Jacquline Shija akielezea kuhusu mafanikio yake baada ya kuwezeshwa na Safari Lager Wezeshwa.

No comments:

Post a Comment