Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo
(kushoto) akiwa katika kikao cha majadiliano na kamati ya Maandalizi ya
Nyumbani Kiswahili Film Awards yaliyofanyika hivi karibuni ofisini kwake jijini
Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Nyumbani Kiswahili Film Awards Bw. Fadhil
Francis Mfate akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu maandalizi
ya Tuzo hizo yaliyofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu hivi karibuni jijini
Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Utawala wa Kampuni ya Bao Limited
Bw. Joseph Noel na Mjumbe wa Kamati ya maandali ya tuzo hizo Bi. Lucia Joseph.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tabasamu Film Production
Bw. Hamza Shaban akifafanu jambo akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu
maandalizi ya uandaaji wa tuzo za Nyumbani Kiswahili Film baina ya Bodi ya
Filamu na Kamati ya Maandalizi ya tuzo hizo yaliyofanyika hivi karibuni jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment