TANGAZO

Saturday, December 20, 2014

Rais Jakaya Kikwete atunuku Kamisheni Maofisa wa Jeshi - Monduli

Rais Jakaya Kikwete akipiga picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Mwinyi, viongozi mbalimbali wa Jeshi na Maofisa aliowatunukiwa Kamisheni, Monduli, mkoani Arusha leo.

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa walipohudhuria sherehe za kutunukiwa Kamisheni Maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika Chuo cha Jeshi hilo, Monduli, mkoani Arusha leo. (Na Mpigapicha Wetu)
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa walipohudhuria sherehe za kutunukiwa Kamisheni Maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika Chuo cha Jeshi hilo, Monduli, mkoani Arusha leo.

Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa akiwaeleza jambo Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwemo Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange (kushoto), kwenye sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo, Monduli, mkoani Arusha leo.
Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange akimkaribisha Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa alipowasili kwenye sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli.
Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa (kulia), akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JWTZ), Dk. Hussen Mwinyi walipohudhuria sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli.
Maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa cheo cha Luteni Usu wakila kiapo cha utii mbele ya Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa kamisheni katika chuo cha jeshi hilo Monduli, mkoani Arusha leo.
Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange akizungumza jambo na Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa wakati wa sherehe za kutunukiwa Kamisheni Maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika Chuo cha Jeshi hilo, Monduli.
Maofisa wa Jeshi wakicheza sarakasi wakati wa sherehe hizo.
Maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa cheo cha Luteni Usu wakitembea kwa ukakamavu walipokuwa wakitoa heshima kwa Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za kutunukiwa Kamisheni Maofisa hao, Monduli, mkoani Arusha leo.

Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa (wa pili kushoto), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussen Mwinyi na Maofisa mbalimbali wa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa katika sherehe za kutunuku Kamisheni hiyo kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli.

No comments:

Post a Comment