Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanmzania ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya heshima ya Uzamivu PhD, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake katika Jamii, Kitaifa na Kimataifa pamoja na kufanikisha kuanzishwa kwa taasisi hiyo kwenye Mahafali ya 2 yaliyofanyika leo, Disemba 18,2014 mjini Arusha.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Mahafali ya 2 ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela yaliyofanyika leo, Disemba 18,2014 mjini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanmzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika maandamano na viongozi wa Taasisi hiyo pamoja na wahitimu, wakati wa Mahafali ya 2 ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo Disemba 18,2014 mjini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson
Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete katikati wakiwa katika picha ya pamoja na
wahitimu wa Shahada ya Uzamili na Uzamifu kwenye Mahafali ya 2 ya Taasisi ya
Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyofanyika leo, Disemba 18,2014 mjini
Arusha.
No comments:
Post a Comment