Kinana akizungumza wakati wa mapokezi katika Kijiji cha Kibaoni, Mtwara Vijijini juzi.
Kinana akihutubia katika mkutano uliofanyika Katika Kijiji cha Nanguruwe, Wilaya Mtwara Vijijini.
Mzee Ismail Lumbeya (95), akisikiliza kwa makini wakati Kinana akihutubia katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Nanguruwe.
Mnara wa Kumbukumbu ya Mwanajeshi wa Tanzania, Hamad Mzee aliyeuawa na ndege ya kivita ya Wareno baada ya kuzitungua ndege mbili za kivita mwaka 1972 katika Kijiji cha Kitaya mpakani mwa Msumbiji na Tanzania wakati wa mapambano ya kuikomboa Msumbiji. |
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara katika Kata ya Kitaya
Ngoma ya asili ikitumbuiza wakati wa mkutano huo
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo.
Kinana akihutubia katika mkutano huo
Kinana akipanda katika moja ya pikipiki 10 zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kwa makatibu Kata wa CCM Wilaya ya Mtwara Vijijini katika mkutano wa hadhara wa katika Kata ya Kitaya.
Kinana akimkabidhi kadi ya CCM mmoja wa wanachama wapya wa chama hicho katika mkutano huo. |
Kinana akikunjua bendera wakati wa uzinduzi wa Tawi la CCM la Vijana akatika Kijiji cha Nanyamba.
Kinana akitoka kukagua mradi wa maji katika Kata ya Nanyamba Mtwara Vijijini.
Vijana wakicheza ngoma ya madudu katika mkutano uliofanyika katika Kata ya Nanyamba.
Kinana akikagua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Nanguruwe kinachotarajiwa kuwa hospitali ya wilaya Mtwara Vijijini.
Kinana akishiriki katika ujenzi wa Kituo cha Afya cha Nanguruwe.
No comments:
Post a Comment