Maofisa wa Serikali pamoja na Wadau mbalimbali wa Bunge wakifuatilia mada hiyo kwa makini.
Ofisa Habari wa Bunge Ndg. Owen Mwandumbya akitoa Mada kuhusu umuhimu wa Bunge kuwa na Mpango Mkakati wa Mawasiliano wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wadau wanaofanya kazi na Bunge kutoka Serikarini na Taasisi binafisi. Semina hiyo imeandaliwa na Bunge kupitia mradi wake wa kuwajengea Wabunge na Watumishi uwezo unaofadhiliwa na UNDP iliandaliwa kwa lengo la kuanisha changamoto zitazolikabili Bunge kushirikiana na wadau wake.

No comments:
Post a Comment