Kamishina wa
oporesheni na mafunzo wa jeshi la polisi,
Paulo Chagonja akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kupokea msaada wa pikipiki
10 aina ya boxes kutoka kwa Kampuni ya mafuta ya Dalbit Petrolium ya nchini kwa ajilia ya kusaidia kikosi cha usalama
barabarani kupambana na swala zima la usalama barabarani. Katikati ni Mwenyekiti wa kampuni Hum Dalbit Petrolium Humprey Kariuki na
Kushoto ni Mkurugenzi wa maswala ya Uhusiano wa Kampuni hiyo Magaret Mbaka.
Baadhi ya askari wa kikosi cha usalama barabarani
wakiangalia pikipiki aina ya boxes kati
ya 10 zilizotolewa msaada na kampuni ya mafuta ya Dalbit Petrolium nchini kwa
ajilia ya kusaidia kikosi cha usalama barabarani kupambana na swala zima la
usalama barabarani.Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar
es Salaam.
Kamishina wa
oporesheni na mafunzo wa jeshi la polisi
Paulo Chagonja akijaribu kuendesha moja ya pikipiki aina ya boxes kati ya 10
zilizotolewa msaada na kampuni ya mafuta ya Dalbit Petrolium nchini kwa ajilia
ya kusaidia kikosi cha usalama barabarani kwa kupambana na waalifu wa makosa
mbalimbali. Kulia aliyevaa koti ni Mwenyekiti wa kampuni hiyo Humprey Kariuki.

Mwenyekiti wa Kampuni ya mafuta ya Dalbit Petrolium nchini
Hamphrey Kariuki akipongezana na Kamishina
wa oporesheni na mafunzo wa jeshi
la polisi nchini Paulo Chagonja baada ya
hafla ya kukabidhiana msaada wa pikipiki
10 aina ya boxes kwa jeshi la polisi
kitengo cha usalama barabarani kuisha. Wapili kutoka kushoto ni Mkuu wa Usalama
barabarani Mohammed Mpinga hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya jeshi hilo
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya askari wa kikosi cha usalama barabarani
wakiangalia msaasa wa pikipiki 10 aina ya boxes zilizotolewa na kampuni ya
mafuta ya Dalbit Petrolium nchini kwa ajilia ya kusaidia kikosi cha usalama
barabarani ilikupambana na kubaini makosa
mbalimbali. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es
Salaam. (Picha zote na Mpigapicha wetu)
No comments:
Post a Comment