Waziri kiongozi mstaafu Vuai Shams Nahodha (kulia), akimkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza, kombe la mshindi wa pili kwa walipa kodi wakubwa nchini wakati wa maazimisho ya nane ya siku ya mlipa kodi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Vodacom imeongoza katika kundi ya sekta ya mawasiliano nchini.
Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar, Shams Vuai Nahodha (wapili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na washindi watatu bora wakubwa walipa kodi. Kutoka kushoto ni Meneja wa Mamlaka ya Kodi wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC)
Godfrey Ferdinand, wapili ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene
Meza na kulia ni Meneja Huduma wa Kampuni ya Tanzania Breweries, Alois Qande, wakati wa
maadhimisho ya Nane ya Siku ya Mlipa kodi, iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment