TANGAZO

Thursday, November 20, 2014

Startimes yakabidhi vyakula, sabuni na vifaa vya kusomea kwa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akikabidhi madaftari kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana, wakati kampuni hiyo, ilipokabidhi vyakula mbalimbali, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya watoto hao. Kushoto ni Mwenyekiti wa shule, Januarius Lwambano na Mwalimu Mkuu, Nancy Kwayu. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akikabidhi madaftari kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa shule, Januarius Lwambano na Mwalimu Mkuu, Nancy Kwayu.
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akikabidhi madaftari kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana. 
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akikabidhi madaftari kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana, wakati kampuni hiyo, ilipokabidhi vyakula mbalimbali, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya watoto hao. Kushoto ni Mwenyekiti wa shule, Januarius Lwambano na Mwalimu Mkuu, Nancy Kwayu.
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akiwa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana, wakati kampuni hiyo, ilipokabidhi vyakula mbalimbali, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya watoto hao. 
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akikabidhi madaftari kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana. 
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akiwa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana, wakati kampuni hiyo, ilipokabidhi vyakula mbalimbali, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya watoto hao. 
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akifurahi pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana, wakati kampuni hiyo, ilipokabidhi vyakula mbalimbali, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya watoto hao.

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana. Kushoto wanaopokea ni Mwenyekiti wa shule, Januarius Lwambano na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Nancy Kwayu.

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana. Wanaopokea kushoto ni Mwenyekiti wa shule, Januarius Lwambano na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Nancy Kwayu.
Mwenyekiti wa shule, Januarius Lwambano na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Nancy Kwayu (kushoto), wakimshukuru Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), mara baada ya kuwakabidhi sehemu ya msaada wa vyakula, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana. 
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, baada ya kukabidhi sehemu ya msaada wa vyakula, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana. 

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya StarTimes, Zuhra Hanif  (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhi sehemu ya msaada wa vyakula, vifaa vya kusomea pamoja na sabuni za kufulia kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Kitengo cha wanafunzi wenye usonji, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa shule, Januarius Lwambano na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Nancy Kwayu.
Wazazi, walezi na ndugu wa wanafunzi wenye usonji wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, wakiwa katika hafla ya makabidhiano hayo.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Nancy Kwayu, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo jijini jana.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Nancy Kwayu, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo jijini jana.

No comments:

Post a Comment