Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill
Austin akipima sikio kwa mmoja wa watoto waliohudhuria kliniki iliyokwenda
sambamba na ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit
yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe
zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.

Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua
kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit
yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe
zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.
Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill
Austin pamoja na mkewe, Tani wakipokelewa na wanakikiji wa Loiborsoit kwenye ufunguzi
rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na
mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika
eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.Kulia ni David Furnish mmoja
wa wageni maarufu aliyehudhuria hafla hiyo.
Wanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya Msingi Loborsoit iliyopo
Simanjiro wakiwa darasani huku timu ya Taasisi ya Starkey Hearing Foundation
wakiwa nyuma yao wakati wa kukabidhiwa majengo hayo katika sherehe iliyofanyika
Wilayani Simanjirojana..
Wageni maarufu, Steven Sawalich (kushoto) na David Furnish
wakitoa chakula kwa watoto wa Jamii ya Kimasai wakati Taasisi ya Starkey
Hearing Foundation ilipokuja kutoa huduma ya kuwawekea vifaa watu wenye
matatizo ya kusikia shughuli iliyoenda sambamba na ufunguzi rasmi wa majengo
matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na taasisi hiyo kwa ajili
ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro
mkoa wa Manyara jana.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Loborsoit iliyopo Simanjiro
wakiimba wakati wa kukabidhia majengo ya shule yao jana.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Loiborsoit kilichopo wilayani
Simanjiro mkoa wa Manayara, Yohana Shinini akimvisha Mwanzilishi wa Taasisi ya
Starkey Hearing Foundation, Bill Austin vazi la Jamii ya Kimasai wakati wa
kukabidhiwa majengo ya shule ya Loiborsoit katika sherehe zilizofanyika hapo
jana.
Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin na mkewe wakiwa wamevaa vazi la Jamii ya Kimasai wakati wa kukabidhiwa majengo ya shule ya Loiborsoit.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda akizungumza jambo na David Furnish wa taasisi ya Starkey Hearing Foundation, wakati wa hafala hiyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda akipiga picha ya kumbukumbu na David Furnish wa taasisi ya Starkey Hearing Foundation, wakati wa hafala hiyo.
Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill
Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua
kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya
Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai
katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana. (Picha zote na Mpigapicha wetu)
No comments:
Post a Comment