Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum (kulia), akisoma dua wakati wa hafla ya kumwombea Rais Kikwete, apone haraka jeraha lake, baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Marekani hivi karibuni, hafla iliyotayarishwa na waumini wa dini ya Kiislamu wa Umoja wa Misikiti ya Ilala (Umki), Dar es Salaam na kufanyika Msikiti wa Shafii, Ilala Bungoni, jijini jana usiku.Wapili kulia ni Mwenyekiti wa umoja huo, Sheikh Abdulwakati Abdul. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum (kulia), akisoma dua wakati wa hafla ya kumwombea Rais Kikwete, apone haraka jeraha lake, baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Marekani hivi karibuni, hafla iliyotayarishwa na waumini wa dini ya Kiislamu wa Umoja wa Misikiti ya Ilala (Umki), Dar es Salaam na kufanyika Msikiti wa Shafii, Ilala Bungoni, jijini jana usiku.Wapili kulia ni Mwenyekiti wa umoja huo, Sheikh Abdulwakati Abdul.
Masheikh wa Umoja wa Misikiti ya Ilala (Umki), Dar es Salaam, wakisoma dua jana usiku ya kumwombea Rais Jakaya Kikwete, apone haraka jeraha lake baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Marekani hivi karibuni.
Waumini wa dini ya Kiislamu wa Umoja wa Misikiti ya Ilala (Umki), wakisoma dua ya kumwombea Rais Jakaya Kikwete apone haraka jeraha lake, baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Marekani hivi karibuni.
Waumini wa dini ya Kiislamu wa Umoja wa Misikiti ya Ilala (Umki), wakiitikia dua ya kumwombea Rais Jakaya Kikwete apone haraka jeraha lake, baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Marekani hivi karibuni, dua iliyokuwa ikisomwa na Mwenyekiti wa umoja huo, Sheikh Abdulwakati Abdul (wapili kulia), msikiti wa Shafii, Ilala Bungoni, jijini jana usiku. Wakwanza kulia ni Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum.

Imamu wa Msikiti wa Shafii, Ilala Bungoni, Sheikh Athman Zubeir, akizungumza wakati wa hafla ya kumwombea Rais Jakaya Kikwete.
Waumini wa dini ya Kiislamu wa Umoja wa Misikiti ya Ilala (Umki), wakisikiliza mawaidha yaliyokuwa yakitolewa na masheikh wa Ilala wakati wa dua ya kumwombea Rais Jakaya Kikwete apone haraka jeraha lake, baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Marekani hivi karibuni.
Imamu wa Msikiti wa Shafii, Ilala Bungoni, Sheikh Athman Zubeir, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Imamu wa Msikiti wa Shafii, Ilala Bungoni, Sheikh Athman Zubeir, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum, akizunguma, wakati wa hafla ya kumwombea Rais Kikwete.
Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum, akizunguma, wakati wa hafla ya kumwombea Rais Kikwete.
Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum, akizunguma, wakati wa hafla ya kumwombea Rais Kikwete.
Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum, akizunguma, wakati wa hafla hiyo ya kumwombea Rais Kikwete.
Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum, akizunguma, wakati wa hafla hiyo ya kumwombea Rais Kikwete.
Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum, akizunguma, wakati wa hafla hiyo ya kumwombea Rais Kikwete.
Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa Salum, akizunguma, wakati wa hafla ya kumwombea Rais Kikwete, apone haraka jeraha lake baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Marekani hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment