TANGAZO

Friday, November 28, 2014

Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) lafungwa rasmi

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Postamasta Mkuu, Deos Mndeme, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Baraza hilo, Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Clarence Ichwekeleza (kulia kwake), kuufunga rasmi mkutano, Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Postamasta Mkuu, Deos Mndeme, akizungumza  katika ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Baraza hilo. Kulia kwake ni Mgeni rasmi katika ufungaji huo, Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Clarence Ichwekeleza.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Postamasta Mkuu, Deos Mndeme, wakati alipokuwa akizungumzakatika ufungaji huo

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Postamasta Mkuu, Deos Mndeme, wakati alipokuwa akizungumza.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Postamasta Mkuu, Deos Mndeme, wakati alipokuwa akizungumzakatika ufungaji huo.

Juu na chini: Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Baraza hilo, Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Clarence Ichwekeleza, wakati alipokuwa akiufunga mkutano huo, Dar es Salaam jana.

Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Clarence Ichwekeleza, akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati alipokuwa akiufunga Mkutano Mkuu wa baraza hilo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa baraza la TPC, Postamasta Mkuu, Deos Mndeme.
Juu na chini: Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Baraza hilo, Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Clarence Ichwekeleza, akizungumza alipokuwa akiufunga mkutano huo, Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa baraza la TPC, Postamasta Mkuu, Deos Mndeme.

Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Clarence Ichwekeleza, akizungumza katika ufungaji wa mkutano huo, Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa baraza la TPC, Postamasta Mkuu, Deos Mndeme.

Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Emmanuel Lugomela, akizungumza wakati mkutano wa baraza hilo, ulipofungwa rasmi na Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Clarence Ichwekeleza (wapili kulia), Dar es Salaam jana.

Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Clarence Ichwekeleza (katikati waliokaa), Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi wa TPC, Postamasta Mkuu, Deos Mndeme (wapili kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), mara baada ya kuufunga rasmi Mkutano Mkuu wa baraza hilo, Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment