Mkurugenzi wa Airtel Huduma kwa Wateja, Bi. Adriana Lyamba akimkabidhi
kombe Nahodha wa timu ya Simba ya UDOM kwa kuibuka washindi wa
mashindano ya Airtel Uni 255,yaliyofanyika katika viwanja vya michezo
ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM),Mashindano hayo yalifanyika
mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma.
Baadhi ya Wanafunzi wa UDOM wakishangilia burudani iliyokuwa ikitolewa
kweye jukwaa la burudani la Airtel Uni 255, ambapo wasanii mbalimbali
walitumbuiza akiwemo Ney wa Mitego,Roma Mkatoliki pamoja na Vanessa Mdee
a.k.a V-Money. Msanii wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la kisanii Ney wa Mitego akitumbuiza kwenye tamasha la Airtel Uni 255, lililofanyika katika viwanja vya michezo ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM),Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la kisanii Ney wa Mitego akitumbuiza kwenye tamasha la Airtel Uni 255, lililofanyika katika viwanja vya michezo ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM),Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la kisanii Roma Mkatoliki akitumbuiza kwenye tamasha la Airtel Uni 255, lililofanyika katika viwanja vya michezo ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment