TANGAZO


Tuesday, October 21, 2014

Tanzania kuzindua Rajamu ya Kitaifa, jijini Dar es Salaam, Novemba 17 mwaka huu

Mshauri wa Kimataifa kutoka Kampuni ya Patton Boggs ya Washington DC, nchini Marekani, Richard Griffths, akizungumza wakati wa utambulishi  wa uzinduzi wa Rajamu ya Kitaifa, Dar es Salaam jana, utakaofanyika Novemba 17 jijini. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)  
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tan Trade), Jacqueline Maleko, akizungumza, wakati wa utambulishi wa uzinduzi wa Rajamu ya Kitaifa, Dar es Salaam jana, utakaofanyika Novemba 17 jijini. Katikati ni Ofisa Biashara, Wizara ya Viwanda na Biashara, Andrew Shirima na kulia ni Mtaalamu kutoka Kampuni ya Kimataifa ya Uanasheria na Masuala ya Sera, kutoa Marekani, David Dunn. 
Mkurugenzi wa Uanacha wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Louis Accaro, akizungumza wakati wa utambulishi huo.
 Naibu Msajili wa Brela, Hakiel Mgonja, akizungumza wakati wa mkutano huo.



Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF),

Godfrey Simbeye, akizungumza wakati wa mkutano huo wa utambulishi.

No comments:

Post a Comment