TANGAZO


Sunday, October 5, 2014

Swala ya Idd El Hajj ilivyo Swaliwa Msikiti wa Nurul Yakin Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es Salaam

Waumini wa Dini ya Kiislamu Wakiswali Swala ya Idd  El Hajj katika Msikiti wa Nurul Yakin Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha zote na Dotto Mwaibale wa Blog ya Habari za Jamii)
Waumini wakiwa katika Swala ya Idd El Hajj leo msikitini hapo.
 Watoto wakijumuika katika swala hiyo.
Swala ikiendelea katika msikiti huo.
 Akina mama nao wakishiriki swala hiyo.
Akinamama wakiwa katika Swala ya Idd El Hajj msikitini hapo.

No comments:

Post a Comment