Askari Polisi wakiwa wamemkamata kijana aliyetuhumiwa kutumia kisu
kumtishia mmoja wa wafanyabiashara wa duka ili apatiwe sh. 1,000 ya
kununua chakula katika Mtaa wa Bibi Titi Mohamed, Mnazi Mmoja, Dar es
Salaam leo. (Picha zote na Khamisi Mussa)
Hapa akidhibitiwa kwa kufungwa pingu. Hapa njemba huyo, akilalama baada ya kufungwa pingu kwa ajili ya kupelekwa Kituo cha Polisi. |
No comments:
Post a Comment