Treni yaangusha behewa maeneo ya vingunguti reli imeharibika vibaya
ffu wameshafika eneo la tukio watu wanakula bakora mtindo mmoja hatakiwi MTU eneo hilo
kulikua na kontena za mohamed Enterprises
na Azam. Angalia Picha. Chazo cha ajali hiyo, kimeelzezwa kuwa ni
kukatika kwa pin lock na hivyo, iliyosababisha janga hilo.
Vijana wakiwa katika eneo hilo la ajali.
Treni yaangusha behewa maeneo ya vingunguti reli imeharibika vibaya
ffu wameshafika eneo la tukio watu wanakula bakora mtindo mmoja hatakiwi MTU eneo hilo
kulikua na kontena za mohamed Enterprises na Azam. Angalia Picha. Chazo cha ajali hiyo, kimeelzezwa kuwa ni kukatika kwa pin lock na hivyo, iliyosababisha janga hilo.
Vijana wakiwa katika eneo hilo la ajali.
Askari wa kikosi cha FFU wakilinda usalama na mali zilizokuwa kwenye mabehewa ya treni hiyo. |
No comments:
Post a Comment