TANGAZO


Monday, October 6, 2014

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana waingia Iringa kuanza ziara ya siku 6

 Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, ukitoka Dodoma kwenda Iringa leo, kuanza ziara ya siku sita mkoani Iringa baada ya kumaliza ziara ya siku 11 mkoani Tanga na Pwani siku 9.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi alipowasili mjini Iringa na kufungua Ofisi ya CCM Iringa Vijijini, Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu.













No comments:

Post a Comment