TANGAZO

Saturday, October 18, 2014

Mpambano wa Simba na Yanga hakuna mbambe Uwanja wa Taifa

*Zatoka 0-0 hadi mwisho wa mchezo

Kikosi cha Timu ya Simba kilichojitupa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo, kupambana na Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Kikosi cha Timu ya Yanga kilichojitupa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo, kupambana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom.
Benchi la Ufundi la Simba likiongozwa na Kocha wao, Patrick Phiri (kushoto) na Msaidizi wake, Suleiman Matola (wapili kushoto), wakitafakari mchezo huo.
Mashabiki wa Simba wakiangalia mchezo kati ya timu yao hiyo na Yanga.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na Simba.
Mashabiki wa Yanga, wakionesha vidole vitatu kama ishara ya mabao ambayo ingelifungwa Simba na watani wao wa Jadi, Yanga.
Emmanuel Okwi wa Simba, akitafuta mbinu ya kumtoka Kelvin Yondani wa Yanga, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Kelvin Yondani akiruka juu kuupiga kichwa mpira huku akiangaliwa na Emmanuel Okwi wa Simba wakati wa mchezo huo.
Elius Maguri wa Simba, akimtoka Oscar Joshua wa Yanga, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

Nadir Haroub Canavaro wa Yanga, akijaribu kumzuia Elius Maguri wa Simba. wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Nadir Haroub Canavaro wa Yanga, akijaribu kumzuia Elius Maguri wa Simba. wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Nadir Haroub Canavaro wa Yanga, akipambana na Elius Maguri wa Simba. wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Nadir Haroub Canavaro wa Yanga, akipambana na Elius Maguri wa Simba. wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Nadir Haroub Canavaro wa Yanga, akimtoka Elius Maguri wa Simba. wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Nadir Haroub Canavaro wa Yanga na Elius Maguri wa Simba, wakiwania mpira wakati wa mchezo huo, wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Hadi inaingia dakika ya 45 ya kipindi cha pili timu hizo zilikuwa bado hazijafungana hata bao moja na hivyo mpira huo kumalizika kwa kutokufungana bao lolote.
 Shaaban Kisiga wa Simba (kulia), akiwania mpira na Hassan Dilunga wa Yanga.
Juma Abdul wa Yanga, akimkata Elius Maguri wa Simba wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment