Bondia Suma Ninja akitunishiana misuli
na Shomari Mirundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao
utakaofanyika ukumbi wa Musoma Bar, Tandika Maguruwe kesho, kuadhimisha Nyerere Day. (Picha zote na SUPER D BLOG)
Bondia Azizi Abdalla akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika kesho, Nyerere Day Oktoba 14, ukumbi wa Musoma Bar, Tandika Maguruwe. Kulia ni mpinzani wake Azizi Rashid. |
Bondia Imani Daudi 'Imana Mapambano'
kushoto akitunishiana misuli na Ally Sufiani baada ya kupima uzito kwa
ajili ya mpambano wao, utakaofanyika kesho, Nyerere Day katika ukumbi wa Musoma Bar, Tandika Maguruwe.
Bondia Suma Ninja akitunishiana misuli na Shomari Mirundi
baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika
ukumbi wa Musoma Bar, Tandika Maguruwe kesho, Nyerere Day.
Mabondia Azizi Abdalla na Azizi Rashid
wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao
utakaofanyika kesho, Nyerere Day katika ukumbi wa Musoma Bar, Tandika Maguruwe.
Bondia Imani Daudi 'Imana Mapambano' (kushoto)
akinyanyuliwa mkono na Ally Sufiani baada ya kupima uzito kwa ajili ya
mpambano wao, utakaofanyika kesho, Nyerere Day katika ukumbi wa Musoma
Bar, Tandika Maguruwe. Katikati ni Rais wa TPBO Yassin Abdallah.Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Imani Daudi 'Imani wa Mapambano' na Ally Sufiani wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao, wa raundi nane utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar, Tandika Maguruwe
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa zoezi la upimaji uzito, Promota Kelvin Mapunda amesema kuwa mbali na mpambano huo, kutakuwa na mapambano mengine mbalimbali ambapo bondia Suma Ninja, atavaana na Shomari Mirundi na Azizi Abdallah atapambana na Azizi Rashidi.
Ngumi hizo, zilizopangwa kufanyika kesho Oktoba 14 siku ya kumbukumbu ya kufariki Baba wa Taifa zitakuwa chachu ya kufufua mchezo wa masumbwi katika kitongoji cha Tandika na maeneo ya jirani.
No comments:
Post a Comment