TANGAZO


Monday, October 27, 2014

Bondia Said Mbelwa ampiga George Dimoso kwa Pointi

Bondia George Dimoso (kushoto), akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao, uliofanyika Jumamosi iliyopita. Mbelwa alishinda kwa point mpambano huo wa raundi nane.
Bondia Said Mbelwa (kushoto), akioneshana umwamba na George Dimoso wakati wa mpambano wao uliofanyika Jumamosi juzi. Mbelwa alishinda kwa point.
Mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakifuatilia kwa makini mchezo huo.
Bondia Said Mbelwa akinyooshwa mkono juu kuashiria ushindi wa mpambano huo.
S
Bondia Hamza Mchanjo kushoto akipambana na Juma Fundi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Fundi alishinda kwa point mpambano huo wa raundi sita. 
Baadhi ya mashabiki kutoka Tanzani Boxing Fans Group Watssup wakijadili jambo na bondia Thomasi Mashali wa pili kushoto anae ongea nae ni Rajabu Mkamba mwenye tai.
Bondia Aman Bariko 'Manny Chuga' akioneshana umwamba na Ally Bugingo wakati wa mpambano wao Bariki alishinda kwa pointi.
Bondia Zamoyoni Mbishi (kushoto), akipambana na Sadiq Nuru wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Mbishi alishinda kwa pointi.
Bondia Hassan Mandula (kulia), akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Jaka Mandula alishinda kwa TKO ya raundi ya pili. (Picha zote kwa hisani ya SUPER D BLOG)

No comments:

Post a Comment