*Mmoja apoteza maisha, wengine wajeruhiwa
Wanachi wa Mbagala na wapitanjia, wakilishangaa lori la kubebea mafuta, lililopata ajali ya kupinduka na kisha kushika moto baada ya kinachosemekana kutoka kwa mashuhuda wa ajali kwamba vijana kutoa betri na kusababisha shoti ya moto, iliyoteketea kabisa lori, mtu mmoja kupoteza maisha, wengine kujeruhiwa na maduka 5 pamoja na baa moja kuteketea, maeneo ya Mbagala Rangi Tatu, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Khamisi Mussa)Wanachi wa Mbagala na wapitanjia, wakilishangaa lori la kubebea mafuta, lililopata ajali ya kupinduka na kisha kushika moto baada ya kinachosemekana kutoka kwa mashuhuda wa ajali kwamba vijana kutoa betri na kusababisha shoti ya moto, iliyoteketea kabisa lori, mtu mmoja kupoteza maisha, wengine kujeruhiwa na maduka 5 pamoja na baa moja kuteketea, maeneo ya Mbagala Rangi Tatu, Dar es Salaam leo.
Vijana wakitafuta spea kwenye mabaki ya lori hilo kwa ajili ya kwenda kuziuza.
Vijana wakitafuta spea kwenye mabaki ya lori hilo kwa ajili ya kwenda kuziuza.
Wananchi wakiyashangaa baadhi ya maduka yaliyoteketea kwa moto baada ya kutokea ajalai hiyo.
Wananchi wakiyashangaa baadhi ya maduka hayo, yaliyoteketea kwa moto baada ya kutokea ajali hiyo ya lori la mafuta.
Wananchi wakiyashangaa baadhi ya maduka yaliyoteketea kwa moto baada ya kutokea ajali hiyo.
Kijana (kulia), akimfokea mama aliyebeba mtoto (katikati), aliyedaiwa kuwa na uhusiano naye baada ya mama huyo kudai pesa za matumizi walipokutana maeneo ya Mbagala Rangi Tatu, kwenye eneo lililotokea ajali ya lori la mafuta, Dar es Salam leo.
Mama aliyebeba mtoto (katikati), akimfokea kijana (kulia), aliyedaiwa kuwa na uhusiano naye, wakati mama huyo, alipokuwa akidai pesa za matumizi walipokutana maeneo ya Mbagala Rangi Tatu, kwenye eneo lililotokea ajali ya lori la mafuta, Dar es Salam leo.
Askari Kanzu akiwa na silaha pamoja na mfuko, uliokuwa na baadhi ya spea zilizofunguliwa kwenye mabaki ya lori hilo na vijana waliokuwa wakijitafutia riziki baada ya kutokea ajali hiyo.
Wanachi wa Mbagala na wapitanjia, wakilishangaa lori la kubebea mafuta, lililopata ajali ya kupinduka na kisha kushika moto baada ya kinachosemekana kutoka kwa mashuhuda wa ajali kwamba vijana kutoa
Mwananchi akijaribu kutoa nondo kwenye moja ya maduka hayo, yaliyoteketea kwa moto huo.
No comments:
Post a Comment