TANGAZO


Tuesday, September 9, 2014

Vyama vya Siasa vinavyounda TCD vyatoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba na Uchaguzi Mkuu 2015



Mwenyekiti wa Vyama vya Siasa vinavyounda TCD, Mhe. John Cheyo akitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba na Uchaguzi Mkuu wa 2015, leo 9 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Idara ya Habari Bungeni mjini Dodoma. (Picha na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)

No comments:

Post a Comment