TANGAZO


Thursday, September 18, 2014

Tennis waelezea maendeleo ya mchezo huo

Makamu Rais wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Fina Mango, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salam leo, kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya michezo ya chama hicho, ikiwemo mchezaji Sulle Omari (kulia), kushiriki katika mashindano ya Kimataifa ya Masters nchini Misri, Septemba 20 hadi 28 na kisha kujiunga a masomo katika Kituo cha ITF nchini Morocco. Kushoto ni Katibu Mkuu wa TTA, William Kallaghe. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com))
 Makamu Rais wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Fina Mango, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salam leo, wakati alipokuwa akizungumza kuhusu mafanikio mbalimbali iliyopata chama hicho.Kulia ni mchezaji Sulle Omari na Kushoto ni Katibu Mkuu wa TTA, William Kallaghe.
Makamu Rais wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Fina Mango, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari, Dar es Salam leo, kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya michezo ya chama hicho, ikiwemo mchezaji Sulle Omari (kulia), kushiriki katika mashindano ya Kimataifa ya Masters nchini Misri, Septemba 20 hadi 28 na kisha kujiunga a masomo katika Kituo cha ITF nchini Morocco. Kushoto ni Katibu Mkuu wa TTA, William Kallaghe.
Makamu Rais wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Fina Mango, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salam leo, kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya michezo ya chama hicho, ikiwemo mchezaji Sulle Omari (kulia), kushiriki katika mashindano ya Kimataifa ya Masters nchini Misri, Septemba 20 hadi 28. Kushoto ni Katibu Mkuu wa TTA, William Kallaghe.
Mchezaji wa Tennis, Sulle Omari, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salam leo, kuhusu mafaniko yake katika mchezo huo. Katikati na Makamu wa Rais, Fina mango, na kushoto ni Katibu Mkuu wa TTA, William Kallaghe.
Mchezaji wa Tennis, Sulle Omari, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salam leo, kuhusu nafasi na mafaniko aliyoyapata katika mchezo huo. Katikati na Makamu wa Rais, Fina mango na kushoto ni Katibu Mkuu wa TTA, William Kallaghe.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakiwa katika mkutano huo, na Makamu Rais wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Fina Mango, (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza Dar es Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya michezo ya chama hicho, ikiwemo mchezaji Sulle Omari, kushiriki katika mashindano ya Kimataifa ya Masters nchini Misri, Septemba 20 hadi 28 na kisha kujiunga a masomo katika Kituo cha ITF nchini Morocco. 

No comments:

Post a Comment