Askari Polisi wakiwahoji vijana waliokuwa wameingia mpirani kwa njia isiyo halali, wakati timu za Simba na Polisi Morogoro zilipokuwa zikimenyana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Askari Polisi wakiwahoji vijana waliokuwa wameingia mpirani kwa njia isiyo halali, wakati timu za Simba na Polisi Morogoro zilipokuwa zikimenyana.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo baina ya timu yao hiyo na Polisi Morogoro, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo baina ya timu yao hiyo na Polisi Morogoro, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni.
Hamis Tambwe wa Simba akiruka pamoja na golikipa wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad, wakati wa mchezo kati ya timu hizo.
Hapa ubao wa matangazo ukionesha Simba kuongoza kwa bao 1-0.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba akikokota mpira huku akifuatwa na Hassan Mganga wa Polisi Morogoro.
Wachezaji wa Simba wakijadili jambo huku wakitoka uwanjani kwa ajili ya mapumziko baada ya kupulizwa kipenga cha mapumziko katika mchezo huo.
Wachezaji wa Simba wakijadili jambo huku wakitoka uwanjani kwa ajili ya mapumziko baada ya kupulizwa kipenga cha mapumziko.
Wachezaji wa Simba wakitoka uwanjani kwa ajili ya mapumziko baada ya kupulizwa kipenga cha mapumziko.
Mashabiki wa Simba, wakishangilia timu yao wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wa Simba, wakishangilia timu yao wakati wa mchezo huo.
Hapa ni baada ya Polisi kusawazisha wakati wa kipindi cha pili cha mcheo huo.
Mchezaji wa Simba, Pierre Kwizera, akikokota mpira huku akifuatwa na Nahoda Juma wa Polisi Moro.
Mchezaji wa Simba, Pierre Kwizera, akikokota mpira huku akifuatwa na Nahoda Juma wa Polisi Moro.
Pierre Kwizera wa Simba, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Nahoda Juma wa Polisi Moro.
Emmanuel Okwi wa Simba akitafuta mbinu ya kumpita Nahoda Juma wa Polisi Moro.
Emmanuel Okwi wa Simba na Nahoda Juma wa Polisi Moro, wakiwania mpira.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akizongwa na Anafi Selemani wa Polisi Moro.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akiudhibiti mpira huku akizongwa na Anafi Selemani wa Polisi Moro.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akizongwa na Anafi Selemani wa Polisi Moro.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akipambana na Anafi Selemani wa Polisi Moro.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akizongwa na Anafi Selemani wa Polisi Moro.
Golikipa wa Polisi Morogoro akiwa ndani ya goli akiruka kuudaka mpira wa kona uliopigwa na Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, uliokuwa ukielekea kuingia ndani moja kwa moja.
Amri Kiemba wa Simba, akikimbia na mpira huku akifuatwa na Said mkangu wa Polisi Moro.
Said Mkangu wa Polisi Moro, akidhibiti mpira huku Amri Kiemba (nyuma) wa Simba, akimwangalia.
Mohamed Hussein wa Simba, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na James Ambrose wa Polisi Morogoro, wakati timu hizo zilipomenyana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1.
Mohamed Hussein wa Simba, akiendela kudhibiti mpira huo.
Wachezaji Amri Kiemba (mbele) na Joseph Owino (nyuma) wa Simba wakiangalia huku na kule wakati wa mchezo huo.
Refarii, akiwaonya wachezaji wa Polisi Moro kutokana na mchezo mbaya waliokuwa wakiwafanyia wachezaji wa Simba wakati wa mchezo huo.
Refarii, akiendelea kuwaonya wachezaji wa Polisi Moro.
Refarii, akimpa kadi mmoja wa wachezaji hao wa Polisi Moro kutokana na mchezo mbaya dhidi mchezaji wa Simba.
No comments:
Post a Comment