Rais Jakaya Mrisho akilakiwa katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo September 8, 2014, alikowasili ili kuonana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD), mjini Dodoma leo. (Picha zote na IKULU)
Rais Jakaya Mrisho akisalimiana na baadhi ya wananchi na viongozi wa Mkoa wa Dodoma waliofika kumlaki uwanja wa ndege wa Dodoma leo, September 8, 2014, alip7owasili ili kuonana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD), mjini Dodoma leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), wakati alipokutana nao kwa mara ya pili baada ya kukutana nao mara ya kwanza hivi karibuni, Ikulu ndogo mjini Dodoma leo, Septemba 08,2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), mara baada ya kukutana nao kwa maungumzo ya mara ya pili, Ikulu ndogo mjini Dodoma leo, Septemba 08,2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), mara baada ya kukutana nao kwa mara ya pili, Ikulu ndogo mjini Dodoma leo, Septemba 08,2014.
No comments:
Post a Comment