Makamanda wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wakilibeba jeneza la marehemu Ali Khamis Abdalla, Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, aliyezikwa Fuoni jana. Maziko yake yaliyoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto), Makamo wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto) pamoja na viongozi mablimbali na wananchi, wakiwa katika mazishi ya marehemu Ali Khamis Abdalla, Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, aliyezikwa Fuoni jana.
No comments:
Post a Comment