TANGAZO


Sunday, August 10, 2014

Zungu akagua upanuzi wa Barabara ya Uhuru Dar es Salaam

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, wakati alipokuwa akikagua kazi ya upanuzi wa Barabara ya Uhuru, maeneo ya Bungoni, Ilala, jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mbunge Mussa Zungu (kushoto), akiwa na Diwani wa Kata ya Ilala, Edson Fungo, wakikagua kazi ya upanuzi wa Barabara ya Uhuru, maeneo ya Bungoni, Ilala, jijini Dar es Salaam jana.
Mbunge Mussa Zungu (kulia), akiwaeleza jambo viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Ilala, wakati wakikagua kazi ya upanuzi wa Barabara ya Uhuru, maeneo ya Bungoni, Ilala, jijini Dar es Salaam jana.
Mbunge Mussa Zungu, akiwaeleza jambo viongozi hao, wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Ilala, wakati wakikagua upanuzi wa Barabara ya Uhuru, jijini Dar es Salaam jana.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia), akipatiwa maelezo na Diwani wa Kata ya Ilala, Edson Fungo (wapili kushoto), wakati alipokuwa akikagua kazi ya upanuzi wa Barabara ya Uhuru, maeneo ya Bungoni, Ilala, Dar es Salaam jana.
Mbunge Mussa Zungu (kulia), akiwaeleza jambo viongozi hao wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Ilala, wakati wakikagua upanuzi huo wa Barabara ya Uhuru, Bungoni, Ilala jijini Dar es Salaam jana.
Mbunge Mussa Zungu, akizungumza jambo na viongozi hao, wakati wakikagua huo wa upanuzi wa Barabara ya Uhuru jijini jana.
Mbunge Mussa Zungu (katikati), akiwa pamoja na viongozi hao wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Ilala, wakati wakikagua upanuzi wa Barabara ya Uhuru, jijini jana.
Mbunge Mussa Zungu pamoja na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Ilala, wakikagua upanuzi wa Barabara ya Uhuru, jijini Dar es Salaam jana.
Mbunge Mussa Zungu pamoja na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika ukaguzi huo wa upanuzi wa Barabara ya Uhuru.
Mbunge Mussa Zungu pamoja na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Ilala, wakikagua upanuzi wa Barabara ya Uhuru.
Mbunge Mussa Zungu na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Ilala, wakikagua upanuzi wa Barabara ya Uhuru.
Mbunge Mussa Zungu akiangalia kijiko kilichokuwa kikichimba mtaro wa kupitishia maji taka ya barabara hiyo.na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Ilala, wakikagua upanuzi wa Barabara ya Uhuru.




Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia), akizungumza na viongozi hao, wakati alipokuwa akikagua kazi ya upanuzi wa Barabara ya Uhuru, maeneo ya Bungoni, Ilala, jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment