Mmoja wa wananchi, akiifunua maiti ya mtu aliyetambuliwa kwa
jina la Pascal Lulenga, anayesemekana kuwa ni mfanyakazi wa Kampuni ya
Azam Marine, baada ya kuoopolewa kwenye bandari ya wasafiri watokao na kwenda Zanzibar,
maeneo ya Posta ya Zamani, Dar es Salaam jana. Kwa mujibu wa mashuhuda
waliokuwepo kwenye tukio hilo, mwananchi huyo, kabla ya umauti wake,
alionekana maeneo ya juu akiwa katika shughuli zake mbalimbali bandarini
hapo, nyakati za asubuhi. (Picha zote na Kassim
Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wananchi wakishangaa maiti ya mtu aliyetambuliwa kwa jina la Pascal Lulenga, anayesemekana kuwa ni mfanyakazi wa Kampuni ya Azam Marine, iliyoopolewa kwenye bandari ya wasafiri na kwenda Zanzibar, maeneo ya Posta ya Zamani, Dar es Salaam jana.
Wananchi wakishangaa maiti ya mtu huyo, aliyetambuliwa kwa
jina la Pascal Lulenga, anayesemekana kuwa ni mfanyakazi wa Kampuni ya
Azam Marine, baada ya kuoopolewa kwenye bandari ya wasafiri na kwenda Zanzibar,
maeneo ya Posta ya Zamani, Dar es Salaam jana.
Wananchi wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa kijana, aliyekuwa akimfahamu marehemu Pascal Lulenga (kulia), anayesemekana kuwa ni mfanyakazi wa Kampuni ya
Azam Marine.
Polisi na wasamaria wema wakiupakia mwili wa marehemu huyo kwenye gari kwa ajili ya kuondoka nao kwenda kituo cha Polisi Kati na kisha kupelekwa Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Mwili wa marehemu huyo ukipakiwa kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa kituo cha Polisi cha Kati na kisha kupelekwa Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Mwili wa marehemu huyo, ukipakiwa kwenye gari la Polisi, huku wananchi walikuwepo kwenye tukio hilo, wakijongelea karibu kwa ajili ya kuutambua.
Gari la Polisi lililoubeba mwili wa marehemu huyo, likiwa tayari kwa ajili ya kuupeleka Kituo cha Polisi cha Kati na kisha kupeleka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Baadhi ya wasamaria wema waliosaidiana na Polisi, wakiwa kwenye gari la Polisi kwa ajili ya kuusindikiza mwili wa marehemu huyo, Kituo cha Polisi cha Kati na kisha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Baadhi ya wasamaria wema waliosaidiana na Polisi, wakiwa kwenye gari la Polisi kwa ajili ya kuusindikiza mwili
huo wa marehemu, kupelekwa Kituo cha Polisi cha Kati na kisha Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili, Dar es Salaam kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Mwili
wa marehemu huyo, ukiwa kwenye gari la Polisi kwa ajili ya kupelekwa Kituoni na kisha Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili, Dar es Salaam kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Mwili
wa marehemu huyo, ukiwa kwenye gari la Polisi kwa ajili ya kupelekwa Kituoni na kisha Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili, Dar es Salaam kwa ajili ya kuhifadhiwa.
sababu za kifo ni nini mbona mwandishi umeweka maelezo mafupi ila hamna sababu za kifo chake au bado uchunguzi unaendelea?
ReplyDelete