Mwenyekiti wa Yanga, Yusufu Manji akiteta jambo na Rais wa Simba, Evance Aveva wa hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya kinyago mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Luis Figo wakati wa hafla ya chakula cha usiku alichowaandalia wachezaji wa zamani wa timu hiyo, baada ya mechi yao na magwiji wa zamani wa soka hapa nchini Ikulu, Dar es Salaam juzi.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya kinyago mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Fabio Canavaro wakati wa hafla ya chakula cha usiku alichowaandalia wachezaji wa zamani wa timu hiyo baada ya mechi yao na magwiji wa zamani wa soka hapa nchini Ikulu, Dar es Salaam juzi.
Rais Jakaya Kikwete akifurahia zawadi ya jezi yenye jina lake aliyokabidhiwa na Figo kwa niaba ya wachezaji wa wachezaji wa timu ya zamani ya Real Madrid. Kulia ni Fabio Canavaro.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na magwiji wa soka wa zamani wa Tanzania Tanzania xi wakati wa hafla hiyo Ikulu, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment