TANGAZO


Friday, August 29, 2014

Rais wa Zanzibar aondoka nchini kuelekea Visiwa vya Samoa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali wa Chama, jeshi na baadhi ya wananchi waliofika Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakati akielekea katika Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano. (Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu) 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi vikosi vya majeshi ya Ulinzi na Usalama, Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakati akielekea katika Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na baadhi ya Viongozi wa Ofisi yake, Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakati akielekea katika Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi, Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamu wake, wa Kwanza Balozi, Maalim Seif Shariff Hamad (katikati) na Balozi Seif Ali Idd (kushoto), Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, mjini Zanzibar leo, wakati akielekea katika Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano.

No comments:

Post a Comment