|
Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo Dk
Fenera Mkangara akiongoza ugeni toka klabu ya Real Madrid ulipowasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
(KIA.) |
|
Baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu ya
Real Madrid wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa KIA. |
|
Mkurugenzi wa Kampuni ya Panone Ltd Patrick
Ngiloi akisalimiana na mmoja wa wageni waliokuwa wameambatana na ugeni
huo. |
|
Magwiji hao walipokelewa na ngoma ya asili
kutoka kikundi cha Msanja cha mjini Moshi. |
|
Magwiji hao walikabidhiwa Maua uwanjani hapo
kama ishara ya Upendo kwao. |
|
Mkurugenzi wa Panone Ltd,Patrick Ngiloi
(kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa TSN, FarouK Baghoza mara
baada ya kupokea ugeni toka Real Madrid. |
|
Ugeni wa Real Madrid ukiwasili katika hotel
ya Panone Luxury Motel iliyopo King'ori jijini
Arusha. |
|
Waziri wa Habari ,Vijana ,Utamaduni na
Michezo Dk Fenela Mkangara akiongozana na mkuu wa wilaya ya
Rombo, Elinasi Parangyo kusindikiza Ugeni toka Real
Madrid. |
|
Wachezaji wa Real Madrid wakiteremka toka
katika basi wakiingia hotel ya Panone Luxury Motel kwa jaili ya
viburudisho. | | | | |
|
Viongozi wa serikali wakipata
viburudisho. |
|
Baadhi ya wachezaji wa klabu ya Panone fc
wakibadilishana mawazo na baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu ya
Real Madrid. |
|
Wadau wa soka Mkoa wa Kilimanjaro pia
walikuwepo. |
|
Wachezaji wa klabu ya Panone fc, Raymond
Madesho (shoto) na Salmini Mvungi wakipata picha ya pamoja na
mtangazaji wa Clouds fm Shaffih Dauda. |
|
Mkurugenzi wa kampuni ya Panone Ltd ,Patrick
Ngiloi akikabidhi zawadi ya kinyago kwa Waziri wa Habari,Vijana
,Utamaduni na Michezo Dk Fenela Mkangara ,kulia ni mkurugenzi wa
kampuni ya Ibra line,Ibrahim Shayo. |
|
Waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na
Michezo Dk Fenela Mkangara akikabidhi zawadi ya kinyago kwa Kiongozi
wa Wachezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid. |
|
Waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na
Michezo Dk Fenela Mkangara akizungumza mara baada ya kukabidhi zawadi
kwa wageni hao. |
|
Baaadhi ya wageni wakiwa na wenyeji wao
katika hotel ya Panone Luxury Motel. |
|
Waziri Mkangara akiongoza ugeni kutoka
hotelini hapo. |
|
Kikosi cha wachezaji wa zamani waklabu ya
Real Madrid kikiasili katika uwanja wa Ushirika. |
|
Kikosi cha Machava fc. |
|
Kikosi cha Panone fc. |
|
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akiwapokea wageni hao. |
|
Wageni wakijiandaa kusalimia vikosi vya
Panone fc na Machava fc. |
|
Kikosi cha Machava wakiwa katika picha ya
Pamoja na magwiji wa Real Madrid. |
|
Kikosi cha Panone fc kikiwa katika picha ya
pamoja na magwiji wa Real Madrid. |
|
Friends Of Panone wakiwa katika picha ya
Pamoja na magwiji hao. |
(Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii
kanda ya kaskazini)
No comments:
Post a Comment