Muwasilishaji Toka Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw.
Feruzi Mtika akiongea na waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo kuhusu aina ya Mafao wanayotoa iwapo watajiunga na Mfuko huo, wakati
wa Semina iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
|
Afisa Toka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Hawa Kikeke
akiongea na Waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
kuhusu Faida watazopata iwapo watajiunga na mfuko huo, leo Jijini Dar es
Salaam.
|
Kaimu Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw.
Arnold Kagaruki akiongea na watumishi wapya wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo wakati wa semina elekezi kuhusu mifuko ya pensheni leo
Jijini Dar es Salaam.
|
| ||
Watumishi wapya wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo waliohudhuria Semina hiyo wakiwasikiliza wawasilishaji
toka mifuko mbalimbali ya pensheni leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na Hassan Silayo-WHVUM)
|
No comments:
Post a Comment