TANGAZO

Saturday, August 30, 2014

Matukio mbalimbali ya Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, mjini Dodoma jana

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto), akitoka ndani ya Bunge akiwa amefuatana na mjumbe mwenzake wa bunge hilo, mara baada ya kumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma. 

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge hilo, mara baada ya kumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa Bunge hilo jana mara baada ya kumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba wakitoka nje ya Bunge hilo jana, mara baada ya kumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba wakitoka nje ya Bunge hilo jana, mara baada yakumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba wakitoka nje ya Bunge hilo jana, mara baada ya kumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba wakitoka nje ya Bunge hilo jana, mara baada ya kumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma.
Mwakilishi wa Watanzania (Diaspora) waishio nchini Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Kadari Singo akifanya mahojiano na baadhi ya Waandishi wa Habari jana, mara baada ya kumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma.
Mwakilishi wa Watanzania (Diaspora) waishio nchini Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Kadari Singo akifanya mahojiano na baadhi ya Waandishi wa Habari,  mara baada ya kumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma.
Mwakilishi wa Watanzania (Diaspora) waishio nchini Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Kadari Singo akifanya mahojiano na baadhi ya Waandishi wa Habari, mara baada ya kumaliza semina jana mchana Agosti 29, 2014 Mjini Dodoma. (Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)

No comments:

Post a Comment