Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bw. Archard
Mtalemwa (katikati mwenye shati jeupe) akiwaonesha
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es
Salaam (DAWASA) Ramani ya Viwanja 1000 vilivyopimwa vya Makazi mapya eneo la Bwira juu kwa wakazi 2068
waliopisha Mradi wa ujenzi wa Bwawa la
Kidunda, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi huo Mkoani Morogoro.
|
Saturday, August 30, 2014
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasa) yatembelea eneo la mradi wa ujenzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment