TANGAZO

Thursday, August 28, 2014

Matukio katika picha leo Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara (kulia) ambaye pia ni mmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzie leo 28 Agosti, 2014 katika eneo la Bunge mjini Dodoma. (Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakitoka ndani ya Bunge leo 28 Agosti, 2014 mjini Dodoma. 

Baadhi ya Wajumbe wanawake wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakitoka ndani ya Bunge leo 28 Agosti, 2014 mjini Dodoma.  
Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo wakati wakitoka ndani ya Bunge leo 28 Agosti, 2014 mjini Dodoma. 

No comments:

Post a Comment