TANGAZO


Thursday, August 28, 2014

Kampuni ya Matangazo ya TRIA yazinduliwa jijini Dar es Salaam leo

Mwanzilishi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Trushar Khetia, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo, Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto wapili ni Mratibu wa Masoko wa Precision Air, Hillary Mremi, Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo, Azda Nkullo, Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender, Meneja Mkuu wa kampuni ya Express, Zulfikar Mohamed na Meneja wa Biashara wa TRIA, Fredy Jullah. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwanzilishi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Trushar Khetia, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo, Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto wapili ni Mratibu wa Masoko wa Precision Air, Hillary Mremi, Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo, Azda Nkullo na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender.
Mwanzilishi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Trushar Khetia, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo, Dar es Salaam leo. 
Wadau na wageni mbalimbali wakiwa katika uzinduzi wa kampuni hiyo ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Dar es Salaam leo. 
Mratibu wa Masoko wa Precision Air, Hillary Mremi (kushoto), Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo, Azda Nkullo na Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender, wakiwa katika uzinduzi huo, jijini leo.
Hafla ya uzinduzi ikiendelea.
Wadau na wageni mbalimbali wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa katika uzinduzi wa kampuni hiyo ya Matangazo ya TRIA, Dar es Salaam leo. 
Wadau na wageni mbalimbali wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa katika uzinduzi wa kampuni hiyo ya Matangazo ya TRIA, Dar es Salaam leo. 
Wadau na wageni mbalimbali wakiwa katika uzinduzi wa kampuni hiyo ya Matangazo ya TRIA, Dar es Salaam leo. 
Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender, akizungumza katika uzinduzi huo.
Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender, akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Precision Air, Azda Nkullo, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo, Dar es Salaam leo.
Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Precision Air, Azda Nkullo, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo, Dar es Salaam leo.
Mwanzilishi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Trushar Khetia (wapili kushoto), akikata utepe ili kuizindua rasmi kampuni hiyo, Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni Precision air, Azda Nkullo, Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender (kulia) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Express, Zulfikar Mohamed.
Mwanzilishi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Trushar Khetia (wapili kushoto), Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni Precision Air, Azda Nkullo (wa kwanza kushoto), Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender (kulia) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Express, Zulfikar Mohamed, wakifurahia uzinduzi huo.
Wadau wakiwa ndani ya ndege ya Precision Air, wakati wa uzinduzi huo, Dar es Salaam leo. 
Viongozi wa Kampuni mblimbali pamoja na wadau wakifurahia, wakiwa ndani ya ndege ya Precision Air, wakati wa uzinduzi huo, Dar es Salaam leo.
Viongozi wa Kampuni mblimbali pamoja na wadau wakiwa ndani ya ndege ya Precision Air, wakati wa uzinduzi huo, Dar es Salaam leo.
Viongozi wakiwa ndani ya ndege ya Precision Air, wakati wa uzinduzi huo, Dar es Salaam leo.
Wadau wakiwa ndani ya Precision Air, wakati wa uzinduzi huo, Dar es Salaam leo.
Wadau wakiwa ndani ya Precision Air, wakati wa uzinduzi huo, Dar es Salaam leo.
Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo, Azda Nkullo na Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender, wakishuka kutoka kwenye ndege, wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo.
Baadhi ya viongozi na wadau wakishuka kwenye ndege ya Precision Air, wakati wa uzinduzi huo.
Mwanzilishi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Trushar Khetia (kulia), Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Precision Air, Azda Nkullo (kushoto), Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender (wapili kulia) na Meneja Mkuu wa kampuni ya Express, Zulfikar Mohamed, wakijadili jambo wakati wa uzinduzi huo.
Mwanzilishi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Trushar Khetia (kulia), Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Precision Air, Azda Nkullo (kushoto), Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender (wapili kulia) na Meneja Mkuu wa kampuni ya Express, Zulfikar Mohamed, wakifurahia jambo, walipokuwa wakijadili jambo, wakati wa uzinduzi huo.
Mwanzilishi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Trushar Khetia (kulia), Meneja Masoko, Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Precision Air, Azda Nkullo (kushoto), Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya Konica Minolta nchini Malta, Diana Lavender (wapili kulia) na Meneja Mkuu wa kampuni ya Express, Zulfikar Mohamed, wakifurahia jambo, walipokuwa wakijadili jambo, wakati wa uzinduzi huo.
Mwanzilishi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Matangazo ya TRIA, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni za Precision Air na Konica Minolta, Trushar Khetia, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi huo. 


Wadau wakiwa katika uzinduzi huo.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Precision Air, wakiwa katika hafla ya uzuinduzi huo.
Hafla ya uzinduzi ikiendelea.
Hafla hiyo ya uzinduzi ikiendelea.
Hafla hiyo ya uzinduzi ikiendelea.

No comments:

Post a Comment