TANGAZO


Monday, August 4, 2014

JK alipokutana na Wanajumuiya wa Tanzania wa DMV katika Mkutano wa Diaspora Jijini Washigton


Rais Kikwete akimsalimia mmoja wa watoto waliokuwepo kumlaki
Rais Kikwete akilakiwa na wanajumuiya, Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
Rais Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe, Balozi wa Tanzania Marekani Mhe Liberata Mulamula na Bi Rose Jairo, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora wakijadiliana jambo meza kuu.
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC
Viongozi na wanachama wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC.
Wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watanzania DMV
Wanajumuiya wakiwa wametulia mkutanoni.
Wanajumuiya wa DMV, wakiwa kwenye mkutano na Rais Kikwete, Washington DC.
Wanajumuiya toka kila kona ya DMV na sehemu mbalimbali za Marekani.
Wote wametulia wakifuatilia kinachoendelea.
Wanajumuiya, wakiwa kwenye mkutano huo na Rais Kikwete.
Wanajumuiya, wakiwa katika mkutano huo.
Sehemu ya nyomi ya wanajumuiya.
Wanajumuiya pamoja na baadhi ya viongozi.



No comments:

Post a Comment