TANGAZO


Thursday, August 28, 2014

CHARLES EKELEGE wa TBS atupwa Jela mwaka mmoja kwa kosa la matumizi mabaya ya Madaraka


Charles Ekelege akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo ambapo alihukumiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kulipa faini ya sh.milioni 68.
Hapa Ekelege akiwa amekaa nje ya Mahakama hiyo na familia yake  kabla ya kuhukumiwa. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
Ekelege akiteta jambo na familia yake akiwa Mahakamani hapo.
Askari polisi akiwa na familia ya Ekelege (wa pili kulia), wakati akitoka kwenye mahakama hiyo.
Ekelege akiteta jambo na kijana aliyedaiwa kuwa ni mtoto wake.
Ekelege akitoka katika Mahakama hiyo akiwa na kijana aliyedaiwa kuwa ni mtoto wake.

No comments:

Post a Comment