Kanali Mstaafu Iddi Kipingu (watatu kushoto), akikabidhi misaada ya vyakula kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima cha Daru-Alqm cha Yombo, misaada iliyotolewa na Timberland Jogging and Sports Club.
Kanali Mstaafu Iddi Kipingu (watatu kushoto), akikabidhi pesa taslim pamoja na vyakula mbalimbali kwa watoto wanaolelewa katika kituo chayatima cha Daru-Alqm cha Yombo Kilakala, misaada iliyotolewa na Timberland Jogging and Sports Club. |
Baadhi ya w\toto wakifuturu wakati wa futari iliyoandaliwa na Klub ya jogging ya Timberland iliyo Yombo Kilakala.
Baadhi ya kina mama na watoto nao wakipata futari
Baadhi ya wanachama wanawake wa Klabu ya Timberland ya Yombo Kilakala wakipata futari ya pamoja. |
Mlezi wa klabu ya Timberland Sports Club ya Yombo Kilakala, Bi. Carren-Flora Mgonja (wapili kushoto), akiwa na baadhi ya wanachama, mara baada ya kumaliza futari. |
Mlezi wa Klabu ya Timberland Sports Club ya Yombo Kilakala, Bi. Carren-Flora Mgonja, akizungumza wakati wa futari hiyo.
Makamu Mwenyekiti wa Timberland, Chorai John, akizungumza.
Kanali Mstaafu Iddi Kipingu, akitoa nasaha zake.
Diwani wa kata ya Yombo Kilakala Bi, Elizabeth Magwaja akiongea.
No comments:
Post a Comment