Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa
madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu katika furari aliyowaandalia
kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru viongozi wa
madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu kwa kuhudhuria katika furari
aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sehemu ya waliohudhuria katika futari aliyoandaa Rais Jakaya
Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu
Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa
Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya futari
aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu
mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai
16, 2014
Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin
Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika
futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu
mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai
16, 2014
No comments:
Post a Comment