TANGAZO

Thursday, July 24, 2014

NHC wakanusha habari za kuundiwa zengwe la kung'olewa Mkurugenzi wao Mkuu, Nehemia Mchechu

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), David Shambwe (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kuhusu kukanusha taarifa zisizo za kweli kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia   Mchechu ameundiwa zengwe na bodi ya Wakurugenzi wa shirika hilo ili asirejee kwenye wadhifa huo. Mkutano huo umefanyika katika  ukumbi wa  mikutano wa NHC  makao makuu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi, Hamis Mpinda na kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii.  

Baadhi wa waandishi wa habari wakimsilikiza  Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC), David Shambwe (hayupo pichani ), wakati  akizungumza na waandishi wa habari jana, kuhusu kukanusha taarifa zisizo za kweli kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia   Mchechu ameundiwa zengwe na bodi ya wakurugenzi wa shirika hilo ili asirejee kwenye wadhifa huo. Mkutano huo umefanyika katika  ukumbi wa  mikutano wa NHC, Makao Makuu jijini Dares Salaam. (Picha zote na Magreth Kinabo – MAELEZO)

No comments:

Post a Comment