TANGAZO

Saturday, July 12, 2014

Mkutano wa Waendesha bodaboda, Mama ntilie na Uongozi wa CCM Jimbo la Ilala wafanyika jijini Dar

Katibu Msaidizi wa Kamati ya Mkoa ya waendesha bodaboda, Oscar Waluye, akizungumza katika mkutano wao pamoja na Mama ntilie na viongozi wa Jimbo la Ilala, kuhusu maendeleo ya utatuzi wa matatizo yao ya sehemu za kufanyia biashara zao, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo hilo, wakiwa na mabango yao yenye ujumbe tofauti, wakati wa mkutano wao huo wa kujadili matatizo yao ya sehemu za kufanyia biashara zao, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.
Waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo hilo, wakiwa na mabango yao yenye ujumbe tofauti, wakati wa mkutano wao na viongozi wa Jimbo la Ilala, kuhusu maendeleo ya utatuzi wa matatizo yao ya sehemu za kufanyia biashara zao, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.

Waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo hilo, wakinyanyua mabango yao yenye ujumbe tofauti, wakati wa mkutano wao huo,uliokuwa ukijadili matatizo yao ya sehemu za kufanyia biashara zao, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. 
Waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo la Ilala, wakiwasikiliza viongozi wa Jimbo hilo, walipozungumza nao, kuhusu maendeleo ya utatuzi wa matatizo yao ya sehemu za kufanyia biashara zao, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. 
Mmoja wa viongozi wa waendesha bodaboda na mama ntilie, akizungumza kwenye mkuatano huo, huku akiwasihi kutokuandamana kwa kuwa watakuwa wamevunja sheria.

Viongozi wa Mkoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Ilala, wakiwa kwenye mkutano huo, wa waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo hilo. Katikati ni Mwenyekiti Alhaji Masoud Mbilili.
Waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo la Ilala, wakiwa kwenye mkutano wao na viongozi wa jimbo hilo, kuhusu maendeleo ya utatuzi wa matatizo yao ya sehemu za kufanyia biashara zao, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.
Mmoja wa viongozi wa waendesha bodaboda, akimkabidhi baadhi ya risiti za kupigwa faini Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Ilala, Alhaj Masoud Mbilili katika mkutano huo.
Waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo la Ilala, wakionesha mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa mkutano wao huo, kuhusu maendeleo ya utatuzi wa matatizo yao ya sehemu za kufanyia biashara zao, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.

Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu, Busoro Pazi, akizungumza na waendesha bodaboda na mama ntilie hao, alipokuwa akielezea msimamo wa Ofisi ya mbunge huyo kuhusu suala hilo katika mkutano huo.

Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu, Busoro Pazi, akisisitiza msimamo wa Ofisi ya mbunge huyo, kuhusu suala hilo katika mkutano huo.
Kijana akionesha bango lililokuwa na maandishi ya kuwaomba viongozi kuwaruhusu waendesha bodaboda waendelee na kazi zao jijini. 
Waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo la Ilala, wakiwasikiliza viongozi wa jimbo hilo, wakati wa mkutano wao, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. 
Katibu wa CCM Jimbo la Ilala, akizungumza katika mkutano huo na waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo hilo la Ilala.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Ilala, Alhaj Masoud Mbilili, akizungumza na waendesha bodaboda na mama ntilie wa jimbo hilo, kuhusu maendeleo ya utatuzi wa matatizo yao ya sehemu za kufanyia biashara zao, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. 

No comments:

Post a Comment